KWA WAPENZI WA MPIRA KAMA BRADLEY........

Sema Merry Christmas Bradley..!




Anaitwa Bradley Lowery.. Ni shabiki wa kutupwa wa Sunderland.. Ana miaka mitano duniani na tayari madaktari wamethibitisha kuwa amebakiza miezi miwili tu kabla kansa haijakatiza pumzi zake na kuupeleka mwili wake futi 6 chini ya Ardhi...

Kuna kaburi liko wazi tayari likimsubiri Bradley..!

Kitu chake cha mwisho kabisa alichokiomba duniani ni zawadi ya kadi ya Krismasi.. kadi tu inamtosha kukifanya kifo chake kuwa na amani..

Everybody dies but not everyone has lived...

Umeumia moyo wangu!! Leo asubhi wakati nasikiliza #BBC Michezo wakaanza mzungumzia huyu dogo usingizi ulikata kwakweli mtoto ana kiface kifo aliomba apatiwe zawadi ya kadi ya sms kabla aja pass away mpak jana usiku ametumiwa kadi million 13 amepokea madaktali wanatibu Mungu anaponya We baba mponye huyu kijana.

Fumhua hii link https://youtu.be/_fhpm1ZjMdg umuone mechi iliyoisha ya chelsea vs Sunderland

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »